Sema tu nafaka. Kwanini useme cereals na maana ni moja?!
Inawezekana huko anakotaka kupeleka ndio wanaita hivyo akiongea na anataka tufahamu kuwa anataka kupeleka nafaka kwa watu wanaoongea kilugha kama hicho cha wazungu wa uingereza na marekani.Sema tu nafaka. Kwanini useme cereals na maana ni moja?!
Sirili 😄Yaan bora umelahisisha nilikuwa nawaza hyo cereals ni kitu gn atiiii
Mungu akutunze mkuu, nimepata kitu hapa nilikua nahangaika sanaKupata export permit (Kibali cha kupeleka nje ya nchi) kwa cereals and legumes kama Maharage, Mchele, Mahindi etc. Unaapply kupitia mfumo wa atmis.kilimo.go.tz pia ni bure. Hamna gharama kwa most of them kwa jamii ya Nafaka(Cereals and Legumes). Kwa maelezo zaidi angalia Tanzania Trade Portal (hapa unapata info zote concerning steps/procedures to export different products and different authorities)
Karibu!Mungu akutunze mkuu, nimepata kitu hapa nilikua nahangaika sana
Post yako imetusaidia wengi mkuu, japo nina swali.Kupata export permit (Kibali cha kupeleka nje ya nchi) kwa cereals and legumes kama Maharage, Mchele, Mahindi etc. Unaapply kupitia mfumo wa atmis.kilimo.go.tz pia ni bure. Hamna gharama kwa most of them kwa jamii ya Nafaka(Cereals and Legumes). Kwa maelezo zaidi angalia Tanzania Trade Portal (hapa unapata info zote concerning steps/procedures to export different products and different authorities)
Asante kwa niaba y wengiKupata export permit (Kibali cha kupeleka nje ya nchi) kwa cereals and legumes kama Maharage, Mchele, Mahindi etc. Unaapply kupitia mfumo wa atmis.kilimo.go.tz pia ni bure. Hamna gharama kwa most of them kwa jamii ya Nafaka(Cereals and Legumes). Kwa maelezo zaidi angalia Tanzania Trade Portal (hapa unapata info zote concerning steps/procedures to export different products and different authorities)
Post yako imetusaidia wengi mkuu, japo nina swali.
Nimepata order za kupeleka mchele Uganda, Ila sijui mpakani huwa wanataka Kodi kiasi gani(Kama ipo) au niwe na vitu gani ili nipite bila bughudha. Nitashukuru Kama nitapata mawazo yako mkuu.
Habari, hii sasa kama unapenda kusoma soma 😂 nenda kwenye EAC Customs draft. (Hii inaonyesha kodi watakazotoza). Ila generally, kwa Raw Materials Agricultural Produce (Mazao ambayo hayajawa processed) hamna kodi ya customs kama zinaenda nchi yoyote ya Afrika Mashariki (confirm tu kwenye iyo act ya East Africa Community Customs). Cha Muhimu uwe na Certificate of Origin ambayo wanaitoa TCCIA (Kwenye iyo Tantrade Portal contacts zao zipo). Iyo cheti inalabel au kutambua kuwa product yako ni ya Tanzania. Kwaiyo pale mpakani wakiona iyo cheti, watapunguza izo kodi zinazotakiwa.Post yako imetusaidia wengi mkuu, japo nina swali.
Nimepata order za kupeleka mchele Uganda, Ila sijui mpakani huwa wanataka Kodi kiasi gani(Kama ipo) au niwe na vitu gani ili nipite bila bughudha. Nitashukuru Kama nitapata mawazo yako mkuu.
Pia nimeona mtu (Username: mkataumem)ameongelea list za nini unahitaji kuexport. Ameelezea vizuri. Jaribu kufatilia vitu vyote hivo vingine. (Export Permit, Phytosanitary) na kupunguza usumbufu, watu wa Clearing and Forwading ndio mambo yao hayo. Watakusaidia. Ila hizo procedures zote pia utayapata kwenye iyo Link ya TanTrade Portal.Post yako imetusaidia wengi mkuu, japo nina swali.
Nimepata order za kupeleka mchele Uganda, Ila sijui mpakani huwa wanataka Kodi kiasi gani(Kama ipo) au niwe na vitu gani ili nipite bila bughudha. Nitashukuru Kama nitapata mawazo yako mkuu.
Pia nmesahau, angalia pia TRA website, wanakuaga na hizo Customs na export levies na taxes. Bahati mbaya sijui ni section gani haswa. Lakini wanakuaga nazo(kodi kwa Afrika mashariki na nchi zingine).Post yako imetusaidia wengi mkuu, japo nina swali.
Nimepata order za kupeleka mchele Uganda, Ila sijui mpakani huwa wanataka Kodi kiasi gani(Kama ipo) au niwe na vitu gani ili nipite bila bughudha. Nitashukuru Kama nitapata mawazo yako mkuu.
Asante sana mkuuUkishakuwa na kibali cha export (export permit) apo we ni kununua mzigo pata invoice na parking list yako na kutafuta kampuni itakayo kufanyia clearance mzigo wako kwa kukutengenezea assesment ya mzigo ambayo inatumika TRA pia maana kuna idara ya kilimo lazima wakutengenezee phaytosanitary certificate then watu wa Atomic (mionzi) …so wew unaeza kaa chini na kampuni husika mka kubaliana bei ya clearance yote mzigo adi unatoka boda ya Tz pia lazima upate agent wa boda ya uganda mzigo unakoingia ili afanye nae clearance ya importation…APO AUTA BUGUDHIWA
Be blessed Sana. Nimelifanyia kazi mkuuPia nimeona mtu (Username: mkataumem)ameongelea list za nini unahitaji kuexport. Ameelezea vizuri. Jaribu kufatilia vitu vyote hivo vingine. (Export Permit, Phytosanitary) na kupunguza usumbufu, watu wa Clearing and Forwading ndio mambo yao hayo. Watakusaidia. Ila hizo procedures zote pia utayapata kwenye iyo Link ya TanTrade Portal.