Gharama za kupaua nyumba ya vyumba vitatu na finishing

Broxine

Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
33
Reaction score
24
Wakuu Habari
Najenga nyumba ya vyumba vitatu Bagamoyo nimefikia kwenye boma nahitaji kupaua,kuweka grill za madilisha na milango 2 wa nyuma na mbele, plasta,kuweka floor rafu.Naomba kujua gharama za makisio za ufundi wa vitu nilivyoelezea hapo juu iwapo kuna nyongeza ya vitu vingine muhimu vya kufanya ili nijipange kibajeti nyumba iwe tayari kuhamia nimechoka kuishi kwenye nyumba za kupanga.Naomba kuwasilisha kwa ushauri
 

Attachments

  • 1752914926747.gif
    42 bytes · Views: 107
Ongea na fundi wako
 
Mna tatizo moja watu wa humu! Mnapost maelekezo halafu mnataka mpewe gharama halisi za kazi hapa jukwaani......Muite fundi site aone mazingira na kazi atakupa hesabu inayoendana na nyumba yako kabisa! Fundi kuja site kufanya makadirio ni Tsh 20000 tu.....fanya vitu kwa uhakika!
 
Kwa uzoefu na makadirio ya haraka haraka

KUPAUA BATI ANDAA BANDO 7 au 8 _ BEI KULINGANA NA KAMPUNI UTAKAYONUNUA

MAGRILL YA MADIRISHA NA (MAGETI)_ 1,300,000 - 1,500,000
FREMU ZA MILANGO MIWILI NA MILANGO YAKE _ 500,000

KUPIGA JAMVI _ 900,000 - 1,200,000

KARO LA CHOO _ 800,000 - 1000,000
 
Hapo akiwa
Umetumia milioni ngapi Mkuu..?.
 
Je nyumba yenye urefu m 13 kwa 15 iitachukua bati ngapi?
 
Kwa iyo utaki umeme Boss wangu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…