Gharama za kupima breast cancer Ocean Road

Flores

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
habari zenu jaman jana nliweka thread inayohusu maumivu ya titi la kulia so wadau wamenishauri niende nkachek ocean road km itakua cancer au la. me niko mkoani kwa yeyote anayejua gharama za kupima kwenye hiyo hospital pls naomba msaada ili nijue najipanga vipi maana hali yangu ya uchumi si njema so inabidi nijipange nijue natakiwa kua na kias gani cha pesa. ahsanteni
 
kwa nini usipige simu kwa hiyo hospitali husika ukauliza?
 
namba zake sina kaka

ni aibu kwa mtu unayeweza kutumie internet, unajua kutumia internet search engines google, na bado unadai huna number za simu. Unless wewe si mgonjwa.
 
[h=1][FONT=arial,helvetica,sans-serif]Contact Us[/FONT][/h][FONT=arial,helvetica,sans-serif]Our contact details are:[/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]Ocean Road Cancer Institute[/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]P. O. Box 3592,[/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]Junction of Lithuli/Ocean Road[/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]Dar es Salaam - TANZANIA[/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]Telephone: +255 - 22- 2127597[/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]Fax: +255 - 22- 2118704[/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]E-mail: info@orci.or.tz This e-mail address is being protected from spambots, you need JavaScript enabled to view it [/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]URL: Ocean Road Cancer Institute[/FONT]


namba zake sina kaka
 

thank you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…