LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,241
- 940
Hanari za leo wakuu! Kama kichwa kinavyosema hapo juu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua anisaidie kunipa taarifa ya gharama za kusafirisha ng'ombe kutoka maeneo ya Karagwe, Mwanza, Shinyanga, Tabora na Ngara mpaka Metropolitan Dar Es Salaam. Gharama zilenge kwa kila ng'onbe aka kwa kichwa. Nitashukuru sana