Gharama za kusafirisha ng'ombe kutoka kanda ya ziwa

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,241
Reaction score
940
Hanari za leo wakuu! Kama kichwa kinavyosema hapo juu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua anisaidie kunipa taarifa ya gharama za kusafirisha ng'ombe kutoka maeneo ya Karagwe, Mwanza, Shinyanga, Tabora na Ngara mpaka Metropolitan Dar Es Salaam. Gharama zilenge kwa kila ng'onbe aka kwa kichwa. Nitashukuru sana
 
Kutokea huku magu kwa madereva ambao niliwahi ulizia ng'ombe mmoja ni sh 10,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…