Gharama za kusajili Kampuni Brela

Gharama za kusajili Kampuni Brela

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Nataka kusajili Ltd private company na BRELA.

Naomba ufafanuzi.

1. Kwa sasa nataka kufanya biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali kwa serikalini na watu binafsi na hapo siku zijazo import business, kuwa agent wa mambo mbali mbali nk nk .


Naomba muongozo kwa gharama ya chini kwa upande wa kusajili BRELA, yaani zile fees zao, wakurugenzi kwa sasa watakuwa wawili tu.

Je kuna disadvantage ya kushindwa kufanya biashara fulani kwa sababu ya share capital iliyoelezwa kwenye memorandum?

Wajuzi saidia tafadhali
 
mchek huyu jamaa anaitwa singo hpa jf atakusaidia sana...mimi ameshanpatia certificate yangu.
 
Back
Top Bottom