Gharama za kusajiri kampuni ni tsh?

Gharama za kusajiri kampuni ni tsh?

Ogo

Senior Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
132
Reaction score
44
Habarini wandugu!

Kwa mtu mwenye uelewa wa gharama zote za usajiri wa kampun hadi kumaliza na kuwa kampuni kamili ni sh ngapi?

Mim ni kijana na nina kiji-ajira kidogo cha ugali wa siku aahhh mashaaallah napata. Nimeona fursa moja ya uzabuni wa vifaa vya ujenzi, sas katika ufuatiliaji nikaambiwa ili niweze kuanza kuomba kitabu cha zabuni na kucompit na wenyew lazima niwe na TIN na Certificate ulipaji kodi TRA lakin pia ingesaidia sana kama ningekuwa na kampuni.

Tafadharin sana, kwa yeyote anaejua gharama na mwenye la kuongezea kutoka hapa ili kuboresha napokea michango yenu wakuu.;

Ahsanten sana:
 
Back
Top Bottom