Napenda kufahamu gharama nitakazolipia ikiwa nitataka tangazo la biashara yangu lionekane hapa. Pia naomba kwa yeyote anayefahamu gharama za ku-launch website anifahamishe tafadhali. Nawasilisha.
Mkuu Money Stunna, sio kuweka post ya tangazo, nataka kuweka bango lionekane kama yanavyoonekana hayo ya tigo na voda hapo.
Kuhusu gharama za website, nashindwa kuelewa niku-pm nini tena wakati shida yangu nimeshaisema hapa, napendekeza uni-pm tu huo msaada unaotaka kunipa, au utaratibu ni mpaka nikupm mimi ndo unaweza kunijibu?