Mkuu ulifanikiwa kupata msada? Maana mwenyewe nipo mbioni kutaka kujenga warehouse , kama ulifanikiwa nijulishe Bei za material ?Mambo vipi wanajamii forums
Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza
Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni lote
Natanguliza shukran zangu
Mkuu, ungeweka mchoro wake na muonekano halisi ungeweza kukadiriwa.Mambo vipi wanajamii forums
Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza
Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni lote
Natanguliza shukran zangu
Sasa kila kitu mnataka bure hii ni kazi kubwa mnataka wataalamu tuishi vipi?Length 24meter, Width 12, height 6.5.