Gharama za kutoa container bandarini

njechelle

Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
20
Reaction score
3
Habari wana JF
Naomba anaejua gharama za kutoa container la 20ft hapo Bongo anipe process
yote pamoja na charge zingine km zipo.
Container ni la nguo za mitumba.
 
Wana JF siku hizi wameamia kwenye Siasa mada kama hv ni ngumu sana kupata wachangiaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…