Gharama za kutoa gari bandari

Gharama za kutoa gari bandari

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Habari wakuu,

Kuna kibaby walker niliagiza, sasa kimefika. Nimeongea na kampuni ya clearing wamenipa hizi gharama, ningependa kujua uzoefu wenu kama zipo sawa mana nadhani mnajua hapa mjini ujanja ujanja mwingi. Gharama hizo ni; Shipping lines 150,000 Wharfage 115,000 Port charges 250,000 Plate number 50,000 na Agency fee ni 300,000

Naombeni uzoefu wenu wakuu
 
Hivyo ulivyoambiwa ndo hivyo hivyo inavyoonesha gharama zinakuwa fixed bila kujali udogo Au idadi ya mzigo!
Ila TPA ndo walipaswa kupunguza gharama Walau iwe 50,000/- hiyo storage charges
 
Back
Top Bottom