Gharama za kutoa gari bandari

Sitaki Kumuiga Mshana kaka
Haaaa mshana yule jamaa MTU wa ulozi sana!!! Mada zake kama MTU mwoga usisome usiku japo siku hizi ameacha hizo mada!!!

mndamba kutoka Ifakara
 
Fursa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaa mshana yule jamaa MTU wa ulozi sana!!! Mada zake kama MTU mwoga usisome usiku japo siku hizi ameacha hizo mada!!!

mndamba kutoka Ifakara
Aisee mnafahamiana?
 
Prado Port charges ni 660,000 hadi 690,000 usifanye mchezo sijui kwa nini TPA na wao hawawi kama TRA kila kitu kikawa kipo wazi mitandaoni
 
Kutoa gari mnatumia muda gani/siku ngapi kama meli imeshashusha?
 
Utafiti umethibitisha wanaoingiza vi baby walker kwa matumizi wanakuwa na tabia za ukorofi na kuchomekeana barabaran. Nadhan kilichoipata mifuko ya plastic kitafika kwa car toys hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…