Gharama za kutoa gari bandarini

Angalia attachment hii, ni excel worksheet jinsi TRA wanavyokokotoa kodi. Kwa magari yote, ya zaidi ya miaka kumi na chini ya miaka kumi.

Pia sio kweli kwamba gari yenye umri zaidi ya miaka kumi gharama ni kubwa zaidi, matter of fact ni ndogo. Mfumo wa sasa ulioanza mwaka jana Sept ni tofauti za zamani.

Mfumo umepandisha gharama juuu.
 

Attachments

angalia webpage ya tra wananamna ya kuevaluate ushuru kutegemeana na manufactured year, engine volume, na price ya gari uliyonunulia
 
Chesis iko chini mno, barabara za bongo kule Kidongochekunda kazi kweli kupita, la sivyo mwisho wa safari body imeng'oka, la sivyo chakua barabara za kupita, lakini shida ya usafiri haichagui njia.

Leta mikoani - tusikie kilio chako kiko vipi - body lazima uiache barabarani halafu wewe na chesis yako ukiwa nyumbani hapo ndipo utashangaa - nafikiri gari hizi hazikuwa designed for Africa na hasa nchi kama Bongo
 

Umenena - nakumbuka kilio cha mama mmoja ambaye aliagiza Toyota Harrier - alipigiwa kodi na TRA hakuamini kuwa ile kodi unahusu gari yake - alijiminya mapaka tone la mwisho na kufanikiwa kulipa kodi hiyo ya ajabu - alipogeukia bandari kubeba mkoko wake akaambiwa mama ile ilikuwa import taxes sasa jiandae na Port Charges - by then storage charge ilikuwa imekwenda mbali sana - yule mama alizimia -sikufuatilia uhai wake uliishia wapi
 

Inaonekana hujasoma bajeti ya magamba wewe. Sio miaka 10 tena ni miaka 8 kuanzia wiki 2 zijazo
 
tatizo ni kwamba hiyo $1800 haitapigiwa hesabu kama dola 1800 wana viwango vyao kulingana na gari na gari, inawezashuka lakini sio
chini ya 8m ndugu yangu,labda kama uliagiza gari mwaka juzi ndio bei zake hizo
Nadhani unapotosha ukweli.
Kama CIF ni 1800, watakuchaji not more than 5m shs.
CIF yangu ilikuwa 3000, mwaka 2003 na mpaka inafika mlangoni nilitumia 4,800,000.
15 million ni kubwa mno, na hawa maagent huwa wanaangalia mtu mwenyewe yupo vipi.
 
Msaada Jaman

Nataka kuingiza hii kitu Toyota Prado landcluser 1992 CC2400
CIF yake ni $7400

Hivi pale bandarini niandae kama ngapi?



 
Mie naomba kujua malipo ya msingi ya kulipa uagizapo gari toka Japan.
1. Kwa ile FOB + Freight + Insurance; kuna nini kingine cha ziada kinajumlishiwa hapa hadi gari ifikapo ktk bandari yetu?

2.Baada ya gari kuwasili ni gharama gani za ziada wanatoza TPA tofauti na malipo ya kodi kama yalivyotolewa kwenye kikokotoo cha TRA?
 
tembelea gariyangu.com utapata estimated amount ya kuingiza gari nchini.
 
hiyo CIF unapata 1KZ engine, hiyo engine siyo nzuri kabisa, nunua gari kama hiyo lakini hiwe ya cc 3.0 Diesel, inakuwa na engine ya 1KZ.



Msaada Jaman

Nataka kuingiza hii kitu Toyota Prado landcluser 1992 CC2400
CIF yake ni $7400

Hivi pale bandarini niandae kama ngapi?



 
Nadhani unapotosha ukweli.
Kama CIF ni 1800, watakuchaji not more than 5m shs.
CIF yangu ilikuwa 3000, mwaka 2003 na mpaka inafika mlangoni nilitumia 4,800,000.
15 million ni kubwa mno, na hawa maagent huwa wanaangalia mtu mwenyewe yupo vipi.
kweli wewe naona tatizo lako nikupitwa na wakati, yaani unaongelea mambo0ya ten years back? Hata mwanangu hajazaliwa bado
na sasa yupo std 4! Mie nilijua umeagiza mwaka huu maana hata mwaka jana0ni tofauti0 na mwaka huu
na bado 1 july mabadiliko mengine yanaendelea, mpotoshaji ni wewe lol!
 
Mwaka wa gari. Nayaja haya mambo vizuri.
 
kama mambo yenyewe ndo haya bora ununulie hapa bongo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…