Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,510
ANDAA KIASI CHA TRA=8,500,000/= PLUS SHIPPING LINE COST 350,000/= AGENT FEE 300,000/=
Note: shipping line charge zinaweza kuwa chini ya hapo
Habari zenu wadau
Ninaitaji kufahamu jumla ya gharama za kutoa gari bandarini, aina ya Nissan X trail ya mwaka 2007.
Ina 1990cc.
CIF price Ni USD 6361.
Nenda page ya TRA kuna excel sheet ina kila kitu. Wana bei ya kila gari likiwa mpya. Unaingiza mwaka wa gari, bei ya gari husika na diprisiesheni factor kwa asilimia. Then unapata cost zote in USD. Ukiingiza exchange rate ya siku husika utapata on Tshs. Hiyo CIF yako haina lolote kwenye calculations zao
Asante sana Mkuu. mi nataka kuagiza Toyota ISIS ya 2006, cc. 1990, na cif ya 2500. Kwa jumla natakiwa nijiandae na sh. ngapi kuklia malipo yote?D. O charges (shipping line) ya xtrail haiwez kufika laki5 ni dola 87 tu. Ushuru ni 7.6m cif price kwenye database ya tra ni $5164.00 na port charges ni laki5. Plate number 38,000, agency fee 250,000.
Habari zenu wadau
Ninaitaji kufahamu jumla ya gharama za kutoa gari bandarini, aina ya Nissan X trail ya mwaka 2007.
Ina 1990cc.
CIF price Ni USD 6361.
Asante sana kwa mwongozo huo. Ntakupiem pia nikiuanza mchakato huo.NINAWEZA BREAK DOWN HIYO..
D. O charges $85, ushuru 3,783,391.00, cif price kwenye database ya tra $2450, port charges 300,000.00, plate number 38,000.00 agency fee 250,000.00
Ikitokea CIF ni kubwa kuliko hiyo ya TRA, basi hiyo CIF ya invoice inatumika.
Asante sana Mkuu. mi nataka kuagiza Toyota ISIS ya 2006, cc. 1990, na cif ya 2500. Kwa jumla natakiwa nijiandae na sh. ngapi kuklia malipo yote?
| Make: | TOYOTA | |
| Model: | ISIS | |
| Body Type: | WAGON | |
| Year of Manufacture: | 2006 | |
| Fuel Type: | PETROL | |
| Engine Capacity: | 1001 - 2000 CC | |
| Customs Value CIF (USD): | 2450.00 | |
| Import Duty (USD): | 612.50 | |
| Excise Duty (USD): | 153.13 | |
| Excise Duty due to Age (USD): | 459.38 | |
| VAT (USD): | 661.50 | |
| Total Taxes (USD): | 1887 | |
| Total Taxes (TSHS): | 3383391 |
Kwa anayejua,nimeagiza Rav 4 ACA21 ya mwaka 2002,2000cc.Nitatakiwa kulipa kiasi gani mpaka niwe barabarani?
| Make: | TOYOTA | |
| Model: | RAV 4 - 5 DOOR - ACA / ZCA - 21 / 26 | |
| Body Type: | SUV | |
| Year of Manufacture: | 2002 | |
| Fuel Type: | PETROL | |
| Engine Capacity: | 1001 - 2000 CC | |
| Customs Value CIF (USD): | 4237.25 | |
| Import Duty (USD): | 1059.31 | |
| Excise Duty (USD): | 264.83 | |
| Excise Duty due to Age (USD): | 1588.97 | |
| VAT (USD): | 1287.06 | |
| Total Taxes (USD): | 4200 | |
| Total Taxes (TSHS): | 7530600 |
hakuna kitu kama hiki,
haya mabo yashapitwa na wakati.