Gharama za kutoa gari bandarini

Okay wakuu. Bas naomba kila mmoja arudie kutaja gari ambalo anataka kujua total charges untill gari iko nje ya customs controlled areas

mikejones kiungwana na kisomi unatakiwa ukiargue namna hiyo basi u need to analyze kilicho cha ukweli.

Kubisha kwa aina yako hakusaidii wengine.

mikejones

naona uantaka malumbano ambayo mimi sijayataka na sina muda, ila nakushahuri kama wewe unajua kama unavyojinasibu unajua, basi tuambie hapa na orozesha ni vitu gani vya kulipia vya muhimu na ambavyo sio vya muhimu ambvyo anayeagiza gari anatakiwa aandae bajeti yake.

Please do this kama kweli ni mwenye kuchangia kwa faida ya wasio jua.
 
Last edited by a moderator:


Mkuu maelezo haya toshi kuna Coaster za karibu aina nne so njoo na chassis code number au model number.
 
maridadioh nipe model namba ya gari. Chasis namba kama unayo. Pia nijulishe hilo bus lina seating capacity ya abiria wangapi..
 
Last edited by a moderator:
mikejones

Make. mitshubishi
Model. Rosa
Seating capacty. 20
Chasses no. BE63EE100241
Year. 1999
 
@ maridadioh ushuru 9,358,325.00, shipping line charges $135, port charges 850,000.00, plate number 38,000. 00, agency fee 250,000.00
 
Huyo wa coaster ngoja nimsaidie,model HZB 50,passengers 29,CC 4200 year of manufacturer 2008,

Mkuu ukimaliza naomba unisaidie na hii model ya 1998. Guarama zake zinakuwaje?
 

@ kibanga mimi sitaki malumbano ila tunaeleweshana tu. Ili mambo yaende sawa zaidi. Vitu vya muhimu ni USHURU (ambao unajumuisha import duty, excise duty in terms of cylinder capacity na excise duty in terms of age), VAT, REGISTRATION na CPF) sasa kwenye quotation yako registration na cpf huwa hamna. Wakati vinajumuishwa vyote kwenye tansad. Ukiacha swala la ushuru vitu vingine ambavyo mteja anatakiwa kujiandaa navyo ni malipo ya gharama za bandari, malipo ya wakala wa meli waliopo hapa dar es salaam na kulipia gharama ya kupata plate number. Insurance ni optional. Nadhani umenipata mkuu kibanga. Tupo pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Huyo wa coaster ngoja nimsaidie,model HZB 50,passengers 29,CC 4200 year of manufacturer 2008,

Mkuu ukimaliza naomba unisaidie na hii model ya 1998. Guarama zake zinakuwaje?

Coaster ya 98 model gani mkuu??
 
sithole HZB50 ushuru 17,432,235.00, shipping line $135, port charges 1.6m, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo ya mwaka 1998 model ni HZB 50,Passenger 29 Mkuu CC 4200,Hope hiyo ulioweka hapo ni 2008 model.

Shukran
 
1998 coaster ushuru 10,514,305.00, shipping line $110, port charges 970,000.00, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
 
Mkuu ubarikiwe sana,pia hv baada ya hiyo calculator mpya ya TRA bado kuna haja ya submit invoice ya kubuy gar husika?naona system ina estimate CIF kabisa,ni hilo tuu Mkuu kwa leo ubarikiwe sana
 
Invoice ni lazima kaka. Hiyo ndio trade contract kati yako na muuzaji. Lazima iwepo mkuu. Baraka ziwe kwako pia chief.
 
Invoice ni lazima kaka. Hiyo ndio trade contract kati yako na muuzaji. Lazima iwepo mkuu. Baraka ziwe kwako pia chief.

naomba msaada wa jumla ya gharama mpaka gar inaingia road, including punguzo kwa kutolipa import tax (mtumishi). Passo
year 2006
ingine 990cc
cif usd 1464
&
passo
year 2006
ingine 1290cc
cif 1568 usd
 
bavi kwa sasa kupata exemption inatakiwa ununue gari lisilo zidi miaka saba tangu kutengenezwa kwake. Kwa maana hiyo unatakiwa kuagiza gari ya mwaka 2007
 
Last edited by a moderator:
Passo 2006 990cc ushur 3.1m, shipping line $78, port chargea 250,000.00, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
 
Passo 2006 1300cc ushur 3.4m, shipping line $78, port charges 250,000.00, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
 
bavi kwa sasa kupata exemption inatakiwa ununue gari lisilo zidi miaka saba tangu kutengenezwa kwake. Kwa maana hiyo unatakiwa kuagiza gari ya mwaka 2007

nimekupata sasa nikacalculetie hii passo with exemption
year 2008
ingine 990cc
cif 1813
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…