Gharama za kutoa gari bandarini

Passo 2008 990cc ushur 2.8m, shipping line $78, port charges 300,000.00, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
 
Naomba msaada pia kuna gari nataka kununua Japan lakini sikutaka kufanya inspection kwa hiyo haitakuwa na inspection certificate naomba kujua kama haitaniletea usumbufu kwenye clearance.
 
Naomba msaada pia kuna gari nataka kununua Japan lakini sikutaka kufanya inspection kwa hiyo haitakuwa na inspection certificate naomba kujua kama haitaniletea usumbufu kwenye clearance.

Njoo pm niambie ni gari aina gan nikupe details nini cha kufanya. Haina shida kuagiza bila inspection ingawa ni kinyume cha sheria..
 
Naomba msaada pia kuna gari nataka kununua Japan lakini sikutaka kufanya inspection kwa hiyo haitakuwa na inspection certificate naomba kujua kama haitaniletea usumbufu kwenye clearance.

Inspection ni muhimu, kuna magari yanatumia nuclear. Usipofanya inspection Japan bado una fursa ya kufanya hapa hapa Bongo kwa kuwaona TBS,hati yao inakubalika.
 
sithole HZB50 ushuru 17,432,235.00, shipping line $135, port charges 1.6m, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00

Duuuuuh balaa Yaani huo ushuru na hizo gharama zimepitiliza maelezo.... wacha nitizame kama mother amemaliza exemption zake
 
mikejones
Mkuu naomba nieleweshe gharama za port charges na shipping line zinapatikanaje!
 
Last edited by a moderator:
Na kuanzia Julai mosi jiandaeni na upumbavu mpya(kodi mpya) ya TBS/NIT kwa magari yaliyopo sokoni huko ughaibuni...

Dola 200 kwa magari ya UK, 150$ kwa magaribya Japan etc
 
wanajamvi naomba mnisaidie gari hii itagharimu kiasi gani hadi naendesha mwenyewe.....ukiacha bima...

toyota starlet
registration 1998 January
engine capacity 1330cc
from japan
fuel petrol

cif yake hadi dar es salaam ni usd 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…