mandevuclassic
Member
- Nov 23, 2013
- 79
- 119
Gharama za kujiunga umeme ukiwa mia 30-120 toka nguzo ilipo ni kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliobobea kutumia Vibatari huu Uzi hautufai kabisa.Gharama za kujiunga umeme ukiwa mia 30-120 toka nguzo ilipo ni kiasi gani?
Gharama halisi za kuunganishiwa umeme zilizoidhinishwa na mdhibiti (EWURA): Mijini niGharama za kujiunga umeme ukiwa mia 30-120 toka nguzo ilipo ni kiasi gani?
Uko sawa kote Mkuu ila hapo kwa Vijijini Three phase kama yuko ndani ya 30 Meter kutoka miundo mbinu ilipo ni 139,000 TSH.Gharama halisi za kuunganishiwa umeme zilizoidhinishwa na mdhibiti (EWURA): Mijini ni
Gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja (single phase) kutoka kwenye miundombinu ya umeme ni shilingi 320,960/=
Mteja wa njia moja (single phase) ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=
Mteja wa njia moja (single phase) ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
Gharama za kuunganisha umeme ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu (three phase) kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
Mteja wa njia tatu (three phase) ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
umbali wa njia tatu (three phase) ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=
Ni gharama za sasa izo
Na kwa
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/= kama ilivyoelekezwa na EWURA. ( Gharama zote zimejumuisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT))
Na kwa wateja wa njia tatu ( three phase ) vijijini ni karibia kuwa sawa na mijini tu.
Ni iko ivo Mkuu
Unaposema single phase unamaanisha nini?? Tafadhari tufafanulieGharama halisi za kuunganishiwa umeme zilizoidhinishwa na mdhibiti (EWURA): Mijini ni
Gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja (single phase) kutoka kwenye miundombinu ya umeme ni shilingi 320,960/=
Mteja wa njia moja (single phase) ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=
Mteja wa njia moja (single phase) ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
Gharama za kuunganisha umeme ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu (three phase) kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
Mteja wa njia tatu (three phase) ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
umbali wa njia tatu (three phase) ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=
Ni gharama za sasa izo
Na kwa
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/= kama ilivyoelekezwa na EWURA. ( Gharama zote zimejumuisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT))
Na kwa wateja wa njia tatu ( three phase ) vijijini ni karibia kuwa sawa na mijini tu.
Ni iko ivo Mkuu
Unaposema single phase unamaanisha nini?? Tafadhari tufafanulie
Single = 1Unaposema single phase unamaanisha nini?? Tafadhari tufafanulie
Ni zile nyaya 2 za Umeme wa kawaida majumbani. Elewa hivyo.Unaposema single phase unamaanisha nini?? Tafadhari tufafanulie