Gharama za kuvuta maji Dar

Gharama za kuvuta maji Dar

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
528
Reaction score
221
Nyumba ni kama mita 400 kutoka bomba kuu.Je gharama za kuvuta maji ni kwa kisio kiasi ghani.
Nashukuru.
 
Hata mm nahitaji kujua jamani tusaidien
 
Nyumba ni kama mita 400 kutoka bomba kuu.Je gharama za kuvuta maji ni kwa kisio kiasi ghani.
Nashukuru.
Humu naona hakuna wazoefu, watembelee DAWASCO utapata taarifa zaidi.
 
Sio gharama kubwa. Anza kwa kuulizia urefu huo bomba na kuchimba kiasi gani. Kisha nenda dawasco. Mita nakumbuka sie mchina tulifungiwa bure tulilipa kuchimba na kununua bomba na kama elfu arobaini kupata account. Gharama ni kuleta maji, kuunga dawasco sio gharama kubwa.
 
Back
Top Bottom