Sio gharama kubwa. Anza kwa kuulizia urefu huo bomba na kuchimba kiasi gani. Kisha nenda dawasco. Mita nakumbuka sie mchina tulifungiwa bure tulilipa kuchimba na kununua bomba na kama elfu arobaini kupata account. Gharama ni kuleta maji, kuunga dawasco sio gharama kubwa.