Gharama za kuweka LUKU meter msaada kwenye frame yangu

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Nimechukua frame sasa nataka niweke LUKU nijitegemee ,gharama zake zipoje? nataka kujua range ya bei niweke bajeti
Kwa wanaojua msaada
 
Nimechukua frame sasa nataka niweke LUKU nijitegemee ,gharama zake zipoje? nataka kujua range ya bei niweke bajeti
Kwa wanaojua msaada

Kwa sheria ya tanesco,ili kuweka mita zaid ya moja ktk nyumba inakubidi uhakikishe iyo mita iliyopo haina deni na kama ina deni lisizidi laki,then itakubidi ufanye upya wiring iyo sehemu unayotaka kuweka mita mpya,then utachukua kadi na prosesi zingine kufuata,na gharama yake ni sh 320960 /=.kwa msaada na ushauri unaweza ukani-pm au ukani wasap 0718-302132
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…