1. Nauli kwenda na kurudi: USD 1,200
2. Chakula kwa siku: USD 22
3. Hotel Single Room: USD 50
4. Nauli ya mizunguko town: USD 49 (Taxi+Metro+Daladala)
5. Mzigo wako unaotaka kununua: (Na hii tukupe jibu?): Minimum USD3,500
Usijaribu kutafuta watu eti kwa sababu wana simu.
Utatapeliwa hapa hapa halafu uanze kutoa mimacho kama umebanwa haja kubwa.
Mjini hapa
Hapana sio, mimi niko na original id yangu hii, habari ya masiku
Habari za jioni wakuuu,mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa kutosha anayejua anijuze
Kwani gharama ya usafiri kwa cbm moja ni bei gani,na je ushuru wanatoza kwa cbm au wanaangalia gharama uliyonunulia mzigo?
inategemea na kiasi cha mzigo.. ukiwa tayari nitafute0715744220
Kweli hapa mjini!!! lakini mbona wenzenu wanaweka information hapa kila mtu anaona!! kwanini nyie mnaficha ficha ??Unataka ngua mpya au kukuu? Na unataka kwenda mwenyewe au kuagiza? Ushauri kawaida huwa unalipiwa. Kama hauna gharama za kulipia ushauri basi utapewa ushauri wa wa hisani. Tembelea Ofisi yetu iliyopo Mikocheni B, Mtaa wa Himo, numba namba 776, Simu namba 022 2781130 au 022 2781462 na Simu ya Kiganjani namba 0757 869488
Hapo ndo uchanganye na za kwako mkuuKweli hapa mjini!!! lakini mbona wenzenu wanaweka information hapa kila mtu anaona!! kwanini nyie mnaficha ficha ??
Habari za jioni wakuuu,mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa kutosha anayejua anijuze
Wadau wa china, naona PM na maswali juu ya china yamekuwa mengi.
Kutokana na majukumu ya kazi zangu, siwezitoa details zote kwa kila mtu.
Nakaribisha wote mpate consulting service kwenye ofisi zetu hapo tz.
Gharama zitakuwa nafuu, yeah tukiwa charge hela ndiyo mtakuwa serious.
Okay, tips za consulting service ya uchina ni kama ifuatavyo:-
1. General information
2. Visa support
3. Market information in China
4. Clearing and Forwarding
5. Transportation
6. Living and shelter
7. Manufacturers and Suppliers directory
8. Translation
9. Study in China & Chinese Scholarships
10. Business opportunities
11. Product Quality Assurance
Nyote mnakaribishwa.
Wadau wa china, naona PM na maswali juu ya china yamekuwa mengi.
Kutokana na majukumu ya kazi zangu, siwezitoa details zote kwa kila mtu.
Nakaribisha wote mpate consulting service kwenye ofisi zetu hapo tz.
Gharama zitakuwa nafuu, yeah tukiwa charge hela ndiyo mtakuwa serious.
Okay, tips za consulting service ya uchina ni kama ifuatavyo:-
1. General information
2. Visa support
3. Market information in China
4. Clearing and Forwarding
5. Transportation
6. Living and shelter
7. Manufacturers and Suppliers directory
8. Translation
9. Study in China & Chinese Scholarships
10. Business opportunities
11. Product Quality Assurance
Nyote mnakaribishwa.
Nifafanulie maana ya loose cargosiku zote unaposafirisha mzigo, inategemea na wewe unataka huo mzigo usafirishwe kama loose cargo.. au full container...! ushuru wa kutoa nguo na cosmetic mara nyingi huaga mkubwa bandarini per CBM...kwahyo itategemea na agent gani utakayemtumia kutoa huo mzigo wako..kila lakheri!
Nini maana ya CBM?CBM charges inategemea na agent anayekusafirishia mzigo.. wengine wanaanzia 400-600USD.... na hapo haijalishi umenunua nguo za aina gani..!
Hawaruhusu kuweka link hapa. Mwenye interest anicheki PM.engineer nilitegemea utatuwekea na anuani ya website ili tuifahamu kampuni vizuri
Nini maana ya CBM?
Nifafanulie maana ya loose cargo
1. Kuna makampuni mengi ya watz ya kusafirisha mizigo. Siwezi weka link zao hapa.
2. Ndege za mizigo zipo pia hasa pale Guangzhou city, china
Loose cargo ni mzigo au kifurushi ambacho kwa pamoja hukusanywa na kujaza kontena au ni mzigo usioweza kujaza kontena...
Hii mara nyingi huwa ni kwa wale watu ambao wanataka kutuma mzigo ambao hauenei kontena lote...
Vifurushi vyao hukusanywa na makampuni ya watumaji na kwa pamoja hujaza kontena zima...
Mathalani wewe mkuu ununue nguo za dola 2000 na ukizicompress upate kama 4CBM, ujazo huu ni mdogo kulipia kontena zima hivyo inabidi usubiri au ujumuishwe na mizigo ya watu wengine ili kukamiliza ujazo wa kontena lote...
Asante sana Watu8 now nimepata darsa murua hapa,Cubic meter
Ni ujazo wa urefu, upana na kimo kutengeneza mita moja ya ujazo...