F Felix JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 876 Reaction score 764 Nov 29, 2014 #1 Heshima kwenu wakuu, 1.Naomba kujua kwa mtu mwenye kuelewa gharama za kununua mitambo midogo ya kukoboa na kusaga nafaka hasa mahindi.nk. 2.Gharama za uendeshaji wa mitambo n.k. ASANTEN
Heshima kwenu wakuu, 1.Naomba kujua kwa mtu mwenye kuelewa gharama za kununua mitambo midogo ya kukoboa na kusaga nafaka hasa mahindi.nk. 2.Gharama za uendeshaji wa mitambo n.k. ASANTEN
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Nov 29, 2014 #2 Nenda hapo juu kwenye search. Zipo tulishaziweka humu Jf