Gharama za maombi heslb na tcu

Gharama za maombi heslb na tcu

majitta one

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
204
Reaction score
14
1.heslb

usajili 30,000/=
i.cafe 8,000/=
nauli 20,000/=
s/mtaa 5,000/=
mahakama 9,000/=
posta/ems 13,100/=


2.tcu

usajili 50,000/=
i.cafe 5,000/=
nauli 5,000/=


total 145,100/=


hapa mtoto wa mkulima atamudu????


Ccm oyeeeee....!!
 
1.heslb

usajili 30,000/=
i.cafe 8,000/=
nauli 20,000/=
s/mtaa 5,000/=
mahakama 9,000/=
posta/ems 13,100/=


2.tcu

usajili 50,000/=
i.cafe 5,000/=
nauli 5,000/=


total 145,100/=


hapa mtoto wa mkulima atamudu????


Ccm oyeeeee....!!


Ingekuwa huyo mtoto wa mkulima ana uhakika wa kuipata... angalau utasema atajibana akiwa na mategemeo. Lakini bado kuna uwezekano mkubwa wa kukosa mkopo huo. Hii ni nchi ya matajiri... walala hoi watalala hoi milele
 
ingekuwa huyo mtoto wa mkulima ana uhakika wa kuipata... Angalau utasema atajibana akiwa na mategemeo. Lakini bado kuna uwezekano mkubwa wa kukosa mkopo huo. Hii ni nchi ya matajiri... Walala hoi watalala hoi milele

na hiyo ndiyo changamoto kubwa mkuu.

Mtu unajifunga mkanda na kuamua kuuza kuku wote nyumbani lakini mwisho wa siku unapata dry.

Mwenyezi mungu atutangulieee
 
1.heslb

usajili 30,000/=
i.cafe 8,000/=
nauli 20,000/=
s/mtaa 5,000/=
mahakama 9,000/=
posta/ems 13,100/=


2.tcu

usajili 50,000/=
i.cafe 5,000/=
nauli 5,000/=


total 145,100/=


hapa mtoto wa mkulima atamudu????


Ccm oyeeeee....!!

Ndio nyinyi mnaipa kura!
 
Back
Top Bottom