majitta one
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 204
- 14
kaz ipo afu wengne hata matokeo hawajaona.
kweli elimu ya bongo co mchezo
1.heslb
usajili 30,000/=
i.cafe 8,000/=
nauli 20,000/=
s/mtaa 5,000/=
mahakama 9,000/=
posta/ems 13,100/=
2.tcu
usajili 50,000/=
i.cafe 5,000/=
nauli 5,000/=
total 145,100/=
hapa mtoto wa mkulima atamudu????
Ccm oyeeeee....!!
ingekuwa huyo mtoto wa mkulima ana uhakika wa kuipata... Angalau utasema atajibana akiwa na mategemeo. Lakini bado kuna uwezekano mkubwa wa kukosa mkopo huo. Hii ni nchi ya matajiri... Walala hoi watalala hoi milele
1.heslb
usajili 30,000/=
i.cafe 8,000/=
nauli 20,000/=
s/mtaa 5,000/=
mahakama 9,000/=
posta/ems 13,100/=
2.tcu
usajili 50,000/=
i.cafe 5,000/=
nauli 5,000/=
total 145,100/=
hapa mtoto wa mkulima atamudu????
Ccm oyeeeee....!!
ndio nyinyi mnaipa kura!