Habari zenu wakuu!
Samahani naomba kuuliza gharama za mashine ya kukamua mafuta ya alizeti kwa anayejua , pia nitafurahi ukiniambia ni aina gani ya mashine ambayo ni nzuri . mimi nipo Dar lakini mashine nataka nikaifunge mkoa wa mbea maeneo ya mbalali .
nawasilisha!