Mhina Martin
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 144
- 189
Naomba mchanganuo wa gharama za kupata mashine ya kukoboa na kusaga fully Kwa DSM kwa mahitaji ya kijijini hasa iwekwe mkoa wa Tanga,karibuni wadau wazoefu kwa ushauri mnipe mwanga wa upatikanaji wa vifaa, gharama zake nk