Nina mashine 3 za kusaga na kukoboa zipo mkoa wa pwani, bagamoyo.
Kuna mashine ya kusaga mahindi.
Kuna mashine ya kukoboa mahindi.
Kuna mashine ya kukoboa mpunga.
Mashine hizo zinaendeshwa kwa deasel engines. Mradi kwa sasa nimeufunga kutokana na changamoto za usimamizi.
Nimeamua kuuza mashine zote pamoja na engines zake. Kama upo tayari tuwasiliane mkuu.