Gharama za matibabu India, CAG anaweza kuzichunguza?

Gharama za matibabu India, CAG anaweza kuzichunguza?

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho.

2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku walipa Kodi tukijilipia economy
 
Ikichunguzwa utakuta mgonjwa mmoja anayepelekwa na serikali ya CCM kutibia gharama zake utasikia habari za Billion kadhaa zimetumika kumtibu mgonjwaa..

Ni huzunii..
 
Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua?
Gentleman,

Gharama katika ujumla wake kwa mwaka mzima kwa viongozi waandamizi wa uma, waliotibiwa nje ya nchi ikiwa pamoja na India, huwekwa wazi katika kila mwaka wa fedha kwenye bajeti, lakini pia katika report ya mkaguzi

kwa moja moja kibinafsi haiwezekani gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom