M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Gentleman,Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua?
Watanzania wa aina gani, walalahoi ama walalahoi?Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua?
Unataka sieijii atekwe?
Bei za Emirates business class zinatisha
Ikichunguzwa utakuta mgonjwa mmoja anayepelekwa na serikali ya CCM kutibia gharama zake utasikia habari za Billion kadhaa zimetumika kumtibu mgonjwaa..
Ni huzunii..