kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Au nasema uongo ndugu zanguuuuuTuko uchumi wa Kati unalia nini
Wachungaji wanaenda huko lakini kuna baadhi ya wagonjwa wanatoka hospitali wamezimika jumla.Kumwomba Mungu HAKUNA gharama.
Sijui tupeleke wachungaji hospital badala ya madaktari?
Watz waajabu sana, tii mashariti ya wataalamu bila shurutiNdo mana unaambiwa chukua tahadhari!
Wa Tz wa ajabu,utakuta mtu kawekewa maji tiririka,sabuni bure kabisa lakini kunawa hataki maji anayakwepa mpaka awekewe na askari wa kumlazimisha kunawa! Huyo ndo MTz! Halafu kwa ulalamishi hajambo!
Usichanganye sayansi na dini utaumia mwenyewe, mambo ya sayansi fuata sayansiWachungaji wanaenda huko lakini kuna baadhi ya wagonjwa wanatoka hospitali wamezimika jumla.
... bima haijawahi ku-cover magonjwa ya mlipuko; elewa hilo. Maafa yana kitengo maalumu pale ofisini kwa PM huu ndio ulikuwa wakati wake.Alafu kuna sindano iyo nasikia ni milioni 5 alafu hawa jamaa wa bima they don't cover.
Serikali inasema takwimu yoyote lazima ithibitishwe na serikali vinginevyo utakamatwa na kufungwa. Serikali inasema hakuna ugonjwa wa Covid19 nchini, sasa mnaposema watu wanawe mikono kwa tahadhari, wanajihadhari ni kitu kisichokuwepo?Ndo mana unaambiwa chukua tahadhari!
Wa Tz wa ajabu, utakuta mtu kawekewa maji tiririka, sabuni bure kabisa lakini kunawa hataki maji anayakwepa mpaka awekewe na askari wa kumlazimisha kunawa. Huyo ndo MTz! Halafu kwa ulalamishi hajambo!