Naomba kuuliza kwa wana JF wazoefu wa Ujenzi!
1. Kununua Matofari ambayo yemkwishafyatuliwa na kufyatua mwenyew kipi ni bora?
Naomba majibu yazingatie Gharama na ubora.
2. Na kama nikiamua kufyatua mwenyewe, ni matofari mangapi yanayopendekezwa kwa Mfuko mmoja wa Cement? na Pia ni nin cha kuzingatia katika kupata matofari bora?
Nawashukuru sna, nategemea majib mazuri kutoka kwenu wadau
Tofali bora hutokana na mchanga laini wa bagamoyo na rate ya uzalishaji per mfuko. Recomended in 30/mfuko. Vile vile tofali zinahitajika kumagiwa maji kwa siku tano mfulilizo. Mimi nafanya biashara hiyo eneo la bunju na kerege kama unahitaji nitakussuply kwa 800 / per tofali ya nchi 5 yenye viwango na 900 kwa tofali ya nchi 6 . transport ni sh 200/per tofali . Kwa mawasiliano nipigie 0756443705
tofali zako zina strength ngapi in KN (kilo newton) ..... water to cement ratio ni ngapi? .... curing unayofanya inaendanana water to cement ratio? mchanga laini unaosema wa bagamoyo ni river sand? size yako ya tofali unayosema 6" ina measurement gani in milimmiters LxWxD? ... tofali zako ni grooved (motor locking) au square flat? mould ya tofali zako 6" ni ya kulaza au kusimama? unatumia cement gani Simba au Twiga? ordinary portland cement (OPC) au portland cement
majibu nitakupa order ya tofali
Matofari ndiyo vitu gani yarabi?Naomba kuuliza kwa wana JF wazoefu wa Ujenzi!
1. Kununua Matofari ambayo yemkwishafyatuliwa na kufyatua mwenyew kipi ni bora?
Naomba majibu yazingatie Gharama na ubora.
2. Na kama nikiamua kufyatua mwenyewe, ni matofari mangapi yanayopendekezwa kwa Mfuko mmoja wa Cement? na Pia ni nin cha kuzingatia katika kupata matofari bora?
Nawashukuru sna, nategemea majib mazuri kutoka kwenu wadau
ahahhah! asante kiongozi kama ni wa veta harudi hapa,kule huwa atufundishwagi haya macomplication yenu bana ambayo kwenye maujenzi yetu ya nyumba za kujifichia ucku mbu ayaapply kabisatofali zako zina strength ngapi in KN (kilo newton) ..... water to cement ratio ni ngapi? .... curing unayofanya inaendanana water to cement ratio? mchanga laini unaosema wa bagamoyo ni river sand? size yako ya tofali unayosema 6" ina measurement gani in milimmiters LxWxD? ... tofali zako ni grooved (motor locking) au square flat? mould ya tofali zako 6" ni ya kulaza au kusimama? unatumia cement gani Simba au Twiga? ordinary portland cement (OPC) au portland cement
majibu nitakupa order ya tofali
Wabongo bana, Yaani mbwembwe nyiiiiiiiiingi na maswali ya kukomoana kama mnavyofanyiwa na ma-prof wenu wa kibongo na nyie mnaiga ujinga huo huo.tofali zako zina strength ngapi in KN (kilo newton) ..... water to cement ratio ni ngapi? .... curing unayofanya inaendanana water to cement ratio? mchanga laini unaosema wa bagamoyo ni river sand? size yako ya tofali unayosema 6" ina measurement gani in milimmiters LxWxD? ... tofali zako ni grooved (mortar locking) au square flat? mould ya tofali zako 6" ni ya kulaza au kusimama? unatumia cement gani Simba au Twiga? ordinary portland cement (OPC) au portland cement
majibu nitakupa order ya tofali
Kufyatua matofali kuna faida kubwa kuliko kununua
- Ukifyatua matofali mwenyewe utaamua mfuko mmoja utoe matofali mangapi inashauriwa 25-35 lakini wanaouza wanatoa hadi tofali 70 kwa mfuko
- Ukifyatua matofali unafyatulia site hakuna gharama za ubebeaji matofali na matofali hayavunjiki tofauti na ukiyasafirisha
- Cha msingi kwenye ubora wa tofali ni cement(ya pakistani ni bora kuliko hizi za nyumbani) na kumwagilia matofali kwa muda wa wiki moja baada ya kufyatua
- Ni vizuri kufyatua matofali site kama mchanga unapatikana maeneo ya karibu na site( bei ya mchanga itakuwa nafuu)
Mkuu ulipata hizo mashine za kufyatua vitofali?....nijuze mkuu maana na mm nahitaji kununua mashine hiyo....asantejamani natafuta mashine za kufyatulia tofali ndogo za kchoma. mwenye ufaham wa hizo mashine tafadhali anijuze wakuu.