250,000/= to 350,000/=
Gharama zinahusu nini?
1. kuhusu kumwona mwanasheria kwa ajili ya consultation?
2. kuhusu ku-draft legal docs only?
3. kuhusu ku-represent client mahakamani?
4. kuhusu ku-attest docs?
5. kuhusu ku-apisha?
6....?
Mfafanulie huyo ndugu badala ya kumpa figure ambayo haina maelezo yoyote, right?
kuandika memorandum na article of association, ku-notarize na zote zingine zinazo apply ili afungue kampuni. Kama unafahamu zaidi, toa msaada wako. kwa profession mimi si mwanasheria lakini someone did all that for at approximately the range I provided.