Gharama za nyumba ndogo

Gharama za nyumba ndogo

bright pledge 255

Senior Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
140
Reaction score
172
Chumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko, aproximation gharama ikoje kwa wataalam

Nb. Sina family, hata hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu, msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
 
Jipange mkuu hakuna ujenzi mdogo hata tukikushauri uanze na ujenzi wa choo cha nje utakimbia kuhusu ujenzi wa hicho kijumba.
Me huwa nawashangaa sana watu, anajenga master, sebule, jiko na dining 😅 anadhan amekwepa gharama, mwsho wa siku anajikuta kamaliza million 25 ktk ujenzi usio na faida, kumbe hiyo million 25 angeweza kujenga nyumba ya room 3 akahamia kibishibishi nyumba anaimalizia akiwa ndani kajihifadhi ndani ya miaka 2 tu...
 
Kama kiwanja kipo,
Kwa mil 5 unatoa chumba self,sebule,jiko na unahamia kabisa ila nyumba ikiwa kawaida sana (utaishia kwny kufunika,plasta na madirisha ya grill TU mpk umeme).

Ukiwa na 10mil,
Unajenga, unahamia ikiwa finishing ya maana Sana
 
chumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko ,aproximation gharama ikoje kwa wataalam

nb. sina family ,hat a hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu .msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
Nimeona neno Nyumba ndogo akili sijui ilienda wapi daaah tozo sijui zimefika kichwani ? Basi kama vipi nimekosea njia
 
Kama kiwanja kipo,
Kwa mil 5 unatoa chumba self,sebule,jiko na unahamia kabisa ila nyumba ikiwa kawaida sana (utaishia kwny kufunika,plasta na madirisha ya grill TU mpk umeme).

Ukiwa na 10mil,
Unajenga, unahamia ikiwa finishing ya maana Sana
apo umenipa moyo sana master
 
Kama kiwanja kipo,
Kwa mil 5 unatoa chumba self,sebule,jiko na unahamia kabisa ila nyumba ikiwa kawaida sana (utaishia kwny kufunika,plasta na madirisha ya grill TU mpk umeme).

Ukiwa na 10mil,
Unajenga, unahamia ikiwa finishing ya maana Sana

Shukrani kiongozi maana humu kila mtu anasema kajenga kwa milioni 100
 
Kama kiwanja kipo,
Kwa mil 5 unatoa chumba self,sebule,jiko na unahamia kabisa ila nyumba ikiwa kawaida sana (utaishia kwny kufunika,plasta na madirisha ya grill TU mpk umeme).

Ukiwa na 10mil,
Unajenga, unahamia ikiwa finishing ya maana Sana
Ebu njoo nikukabidhi mil kumi nihamie kwenye ghetto langu
 
Chumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko, aproximation gharama ikoje kwa wataalam

Nb. Sina family, hata hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu, msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
Unasema ni nyumba ndogo ila mpaka uingi unashangaa 15M zinalala
 
Back
Top Bottom