bright pledge 255
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 140
- 172
Daaaa ngoja nijichangechangeJipange mkuu hakuna ujenzi mdogo hata tukikushauri uanze na ujenzi wa choo cha nje utakimbia kuhusu ujenzi wa hicho kijumba.
Asante ngoja nijichange
Me huwa nawashangaa sana watu, anajenga master, sebule, jiko na dining 😅 anadhan amekwepa gharama, mwsho wa siku anajikuta kamaliza million 25 ktk ujenzi usio na faida, kumbe hiyo million 25 angeweza kujenga nyumba ya room 3 akahamia kibishibishi nyumba anaimalizia akiwa ndani kajihifadhi ndani ya miaka 2 tu...Jipange mkuu hakuna ujenzi mdogo hata tukikushauri uanze na ujenzi wa choo cha nje utakimbia kuhusu ujenzi wa hicho kijumba.
12mln.chumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko ,aproximation gharama ikoje kwa wataalam
nb. sina family ,hat a hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu .msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
Inategemea uko wapi japo niseme kweli heading ilinichanganyachumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko ,aproximation gharama ikoje kwa wataalam
nb. sina family ,hat a hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu .msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
Nimeona neno Nyumba ndogo akili sijui ilienda wapi daaah tozo sijui zimefika kichwani ? Basi kama vipi nimekosea njiachumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko ,aproximation gharama ikoje kwa wataalam
nb. sina family ,hat a hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu .msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
apo umenipa moyo sana masterKama kiwanja kipo,
Kwa mil 5 unatoa chumba self,sebule,jiko na unahamia kabisa ila nyumba ikiwa kawaida sana (utaishia kwny kufunika,plasta na madirisha ya grill TU mpk umeme).
Ukiwa na 10mil,
Unajenga, unahamia ikiwa finishing ya maana Sana
hhhhh kwamba nyumba ndogo aka mchepukoInategemea uko wapi japo niseme kweli heading ilinichanganya
Kama kiwanja kipo,
Kwa mil 5 unatoa chumba self,sebule,jiko na unahamia kabisa ila nyumba ikiwa kawaida sana (utaishia kwny kufunika,plasta na madirisha ya grill TU mpk umeme).
Ukiwa na 10mil,
Unajenga, unahamia ikiwa finishing ya maana Sana
Ebu njoo nikukabidhi mil kumi nihamie kwenye ghetto languKama kiwanja kipo,
Kwa mil 5 unatoa chumba self,sebule,jiko na unahamia kabisa ila nyumba ikiwa kawaida sana (utaishia kwny kufunika,plasta na madirisha ya grill TU mpk umeme).
Ukiwa na 10mil,
Unajenga, unahamia ikiwa finishing ya maana Sana
Unasema ni nyumba ndogo ila mpaka uingi unashangaa 15M zinalalaChumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko, aproximation gharama ikoje kwa wataalam
Nb. Sina family, hata hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu, msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
Ukajua kakosea Jukwaa.? Mshana Tozo zinakuharibuInategemea uko wapi japo niseme kweli heading ilinichanganya