Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo ya kizota bei zikoje viwanja mkuuHabari za muda huu wana jamvi.
Mwaka jana nimebahatika kununua eneo hapa Dodoma (Kizota) eneo la viwandani kule.
Nahitaji kujenga nyumba ndogo yenye Jiko, sebule, chumba kimoja na choo, kwa wale wazoefu na mafundi naomba mnisaidie kukadiria kiasi cha fedha nnachotakiwa kuwa nacho ili niweze kukamilisha matamanio ya kuishi kwangu.