Gharama za operation huusisha hasa nini?

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Huwa najiuliza hivi madaktari hawana utu kabisa?
Yaani mtu anahitaji operation kwa hali na mali ili aokoe maisha yake. Lakini unaambiwa pambana upate laki 5.
Hivi huwa haiwezekani kabisa mtu kufanyiwa bure then malipo baadae kidogo kidogo? Au gharama zaidi huwa kwenye vitu gani?

Mti wenye matunda.
 
Kwani wao wakati wanasoma walilipa ada kidokidogo 😀 😀
 
Mungu mwenyewe mnatoa zaka ...sadaka ..fungu la kumi..majitoleo.Na bado unaambiwa siku ya mwisho kun hukumu tena ya moto.Huyo ni Mungu wa Huruma na Upendo.iweje Madaktari wakufanyie bure tu..
 
Back
Top Bottom