Huwa najiuliza hivi madaktari hawana utu kabisa?
Yaani mtu anahitaji operation kwa hali na mali ili aokoe maisha yake. Lakini unaambiwa pambana upate laki 5.
Hivi huwa haiwezekani kabisa mtu kufanyiwa bure then malipo baadae kidogo kidogo? Au gharama zaidi huwa kwenye vitu gani?
Mti wenye matunda.