MATEO GODFREY
Member
- Apr 7, 2014
- 36
- 56
it depends km utanunua material ya kusomea au unahitaji kufanya mtihani only, km unalipia mwenyewe kwa kadi ya VISA/Master card ni $245 ila kama unalipia through exam center normally they add about $20-40 margin hapo bado hujawa na materials ya kusomea, ila kama unasomea toka training center hapo itabidi ukaulizie mwenyewe au angalia sites like techno brain wanatoa pia.Habari wadau
Ningependa kufaham gharama za mtihani wa Oracle certified associate pia na wapi hapa Daressalaam ninawezapata training
Asante kwa taarifa muhimuit depends km utanunua material ya kusomea au unahitaji kufanya mtihani only, km unalipia mwenyewe kwa kadi ya VISA/Master card ni $245 ila kama unalipia through exam center normally they add about $20-40 margin hapo bado hujawa na materials ya kusomea, ila kama unasomea toka training center hapo itabidi ukaulizie mwenyewe au angalia sites like techno brain wanatoa pia.
Exam fees ni $245 ila training centre ujalibu ucc nimeona hii Kwenye website yaoHabari wadau
Ningependa kufaham gharama za mtihani wa Oracle certified associate pia na wapi hapa Daressalaam ninawezapata training
OkExam fees ni $245 ila training centre ujalibu ucc nimeona hii Kwenye website yaoView attachment 2286616