Rafiki yangu alinunua online raba za kukimbilia (Joging) kwa jumla ya $23.50 Zilipofika posta alidaiwa something like 55,000shs?
Naomba kujua formula ya kukokotoa Gharama za parcel iliyotoka nje kupitia Posta. Binafsi nilifikiri baada ya kulipa postal charges mtu angeongeza tu VAT?
Anayejua formula tafadhali