Scrum Master
JF-Expert Member
- Apr 28, 2021
- 243
- 424
Wakuu kwema?
Naomba mwenye ujuzi au uzoefu nyumba ya rooms nne za kulala ambapo mbili ni self contained pia kuna jiko, sebule, dining na choo cha public.
Kwa makisio gharama za kufanya plumbing ni kiasi gani materials na ufundi? Naposema plumbing stage ya kwanza namaanisha kuweka mabomba kabla ya rough floor na plaster.
Vipi pia kuhusu gharama za maandalizi ya wiring(kuweka pipes ukutani na darini) ili sasa plaster ifanyike.
Ukubwa wa nyumba ni 15.5m kwa 16m.