Scrum Master
JF-Expert Member
- Apr 28, 2021
- 243
- 424
Wiki mbili zilizopita mimi kwenye plumbing ya awali, kwenye nyumba yangu ambayo ina vyoo vitatu(choo cha jumla na viwili vya vyumba vinavyojitegemea), jiko na dinining nimetumiaWakuu kwema??
Naomba mwenye ujuzi au uzoefu nyumba ya rooms nne za kulala ambapo mbili ni self contained pia kuna jiko, sebule, dining na choo cha public.
Kwa makisio gharama za kufanya plumbing ni kiasi gani materials na ufundi?
Naposema plumbing stage ya kwanza namaanisha kuweka mabomba kabla ya rough floor na plaster.
Vipi pia kuhusu gharama za maandalizi ya wiring(kuweka pipes ukutani na darini) ili sasa plaster ifanyike.
Ukubwa wa nyumba ni 15.5m kwa 16m.
Kama uko Dar naweza kukupa mtaalam mjuzi na asiye na tamaa aminifanyia kazi nzuri. Ni muwazi sana.Wakuu kwema??
Naomba mwenye ujuzi au uzoefu nyumba ya rooms nne za kulala ambapo mbili ni self contained pia kuna jiko, sebule, dining na choo cha public.
Kwa makisio gharama za kufanya plumbing ni kiasi gani materials na ufundi?
Naposema plumbing stage ya kwanza namaanisha kuweka mabomba kabla ya rough floor na plaster.
Vipi pia kuhusu gharama za maandalizi ya wiring(kuweka pipes ukutani na darini) ili sasa plaster ifanyike.
Ukubwa wa nyumba ni 15.5m kwa 16m.
Jamaa umejibu vzuri nadhani mtoa mada amejifunzaWiki mbili zilizopita mimi kwenye plumbing ya awali, kwenye nyumba yangu ambayo ina vyoo vitatu(choo cha jumla na viwili vya vyumba vinavyojitegemea), jiko na dinining nimetumia
A. Vifaa................Tsh 920,000
B. Fundi............... Tsh 300,000
- Pipes nimetumia IPS , nyumba ina ukubwa wa 15.5m x 13.5m (ukubwa wa nyumba as whole unathiri idadi ya pipes. Materials nyengine inategemea una vyoo vingapi)
- Vyoo vyote vitakuwa na mixer (hot and cold water)
*Gharama inaweza kuzidi au kupungua kulingana na masafa baina ya vyoo, jiko na dining, aina ya pipes utakazotumia na sehemu ulipo
Nashukuru mkuu kwa majibu mazuri.Wiki mbili zilizopita mimi kwenye plumbing ya awali, kwenye nyumba yangu ambayo ina vyoo vitatu(choo cha jumla na viwili vya vyumba vinavyojitegemea), jiko na dinining nimetumia
A. Vifaa................Tsh 920,000
B. Fundi............... Tsh 300,000
- Pipes nimetumia IPS , nyumba ina ukubwa wa 15.5m x 13.5m (ukubwa wa nyumba as whole unathiri idadi ya pipes. Materials nyengine inategemea una vyoo vingapi)
- Vyoo vyote vitakuwa na mixer (hot and cold water)
*Gharama inaweza kuzidi au kupungua kulingana na masafa baina ya vyoo, jiko na dining, aina ya pipes utakazotumia na sehemu ulipo
Kwa bahati mbaya sipo Dar, mimi nipo Zanzibar na jamaa ni muajiriwa wa mamlaka ya maji huku so sidhani kama anaweza kuja Dar.Nashukuru mkuu kwa majibu mazuri.
Kama upo dar naomba namba za plumber wako DM.
Natanguliza shukrani.
Asante sana mkuu kwa muongozo mzuri, Mungu akubariki.Kwa bahati mbaya sipo Dar, mimi nipo Zanzibar na jamaa ni muajiriwa wa mamlaka ya maji huku so sidhani kama anaweza kuja Dar.
Sawa nashukuru kwa ushauriMe pia ni fundi plumber sema nimeajiriwa hivi karibuni, sipo tofauti na huyo jamaa wa Zanzibar, ila jambo ninalokazia kwa bomba zinazoingiza maji masafi ndani nunua IPS, hizi hazipasuki wala kuvujisha maji wakati wa preasure ya maji inapotokea au water hurmer,
Pia gharama maalumu hutegemea na fundi akisha iona hiyo kazi ,
Na mimi naingia kwenye hii hatua nafuatilia
safi fundi umeme mwenzanguMimi ni fundi umeme naomba nikupe muongozo wa vifaa kwa wiring stage ya 1..
A. Wiring ya Umeme ya kisasa
1. Conduit za 20mm 40pc
2. Square box za single 20pc
3. Square box za double 15pc
4. Square box za single to single 10pc
5. Square box za single to double 10pc
6. Misumari ya inchi 3 1kg
7. Unaweza kununua pia main switch kabisa ili ichimbiwe na kuchapiwa ukutani
Nb.. vifaa hivo ni kwaajiri ya maandalizi ya kufunga wiring ukutani tu na gharama zake zinayofautiana na duka lakini mara nyingingi ita range (170k +ufundi, bila main switch) .. Hivyo basi ukitaka Pamoja na wiring/ kulaza conduit juu kwa hiyo wiring ya kisasa wa itahitaji uongeze
1. Conduit za 20mm za Africabe70pc
2. Couplin conector 40pc
3. Round box 40pc
4. Elbow corner 10pc
6. Plastic clips za mm22 box 3
7. Misumari ya inchi 2.5 nusu kilo
7.. kwa hivi vifaa vya juu bei ita range ( 235k + ufundi).
B. Wiring ya Umeme ya kawaida
1. Gharama zitapungua 1/3 ya gharama za kisasa
Ukiitaji maelezo zaidi Ni pm au piga 0767780909 au WhatsApp 0718944022
Pa1 engineer wangusafi fundi umeme mwenzangu
Mkuu hizo ppr mara nyingi huwa zinavuja na ukarabati wake ni mgumu maana hazina viungio ambavyo kitaalamu vinaitwa Union ushauri wangu atumie ips kwani ni rahisi kukarabatiKwa bahati mbaya sipo Dar, mimi nipo Zanzibar na jamaa ni muajiriwa wa mamlaka ya maji huku so sidhani kama anaweza kuja Dar.
* Kwenye suala la vifaa tafuta fundi akupigie tathmini then kama una time dukani nenda mwenyewe. Jaribu kuzunguka alau maduka matatu bei zinatofautiana sana. Mimi niliuliza maduka manne ikawa kuna tofauti ya kama Tsh 90000 (kwa bei ya reja reja). Mwisho wa siku nikavipata kwa bei ya jumla kwa vile vilikuwa vingi, nikaokoa zaidi ya Tsh 200,000.
* Fundi tafuta wa mamlaka za maji (Sio lazima) mfano apo Dar mafundi wa DAWASA. Kwa huku Zenji bei zao ni afadhali na wako vizuri.
* Pipes za PPR bei ipo chini kidogo ila zinalalamikiwa kuwa na tabia ya kuvujisha baada ya muda unless upate fundi mweledi sana. Otherwise utakuja kuvunja tiles na kushusha showers mbele ya safari.
NIKUTAKIE KILA LA KHERI.