habari zenu wadau, naomba mnisaidie kwa anaefahamu gharama za kusoma PGDE UDSM, ada zake kwa ujumla. nimeangalia kwenye web yao nimepata fomu tu. thanks.
udsm ni tsh milion 3 laki 2 na ushee, udom ni tsh 1750000, chuo kikuu cha arusha(wasabato) ada ni Tsh milion 2. Open univ. Cjajua bado ila nafikiri itakuwa rahisi zaidi (hope less than 2 million).