Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,774 Jun 19, 2014 #1 nataka ninunue kwa ajili ya kilimo cha ufuta, mihogo, mananas, michungwa na miembe ya kisasa. Je itanifaa hyo power tiller? Naomba kujua na gharama zake
nataka ninunue kwa ajili ya kilimo cha ufuta, mihogo, mananas, michungwa na miembe ya kisasa. Je itanifaa hyo power tiller? Naomba kujua na gharama zake