Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari.
Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata hata kwenye mitandao.
Naomba mnisaidie kwa yeyote anaezifahamu vyema gharama za kufanya miamala ya kibenki kwa njia ya simu, kwa CRDB.
Ahsanteni.
hawa jamaa wanatupiga sana. yaani wana maneno mengi tena ambayo hayajanyooka. kona kibao na charges zao nyingi zisizoelewekaLakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata hata kwenye mitandao.
Naomba mnisaidie kwa yeyote anaezifahamu vyema gharama za kufanya miamala ya kibenki kwa njia ya simu, kwa CRDB.