Gharama za simu kupungua kwa 69% ifikapo march mosi.je wajua utalipa kiasi gani?

Gharama za simu kupungua kwa 69% ifikapo march mosi.je wajua utalipa kiasi gani?

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
407
Reaction score
178
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TCRA IMETANGAZA RASMI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MIINGILIANO YA MITANDAO YA SIMU IFIKAPO MARCH MOSI KWA 69%, YAANI KUTOKA TShs 112 mpaka 35 kwa dakika. HII YOTE INATOKANA NA MALALAMIKO YA MUDA MREFU KUWA TANZANIA GHARAMA ZIPO JUU KULIKO NCHI ZINGINE. NI MATARAJIO YA SERIKALI KUWA ILE TABIA YA KUBEBA SIMU 2 ITAPUNGUA HATA WALE WAKUBADILISHA LAINI KILA ATAKAPO KUONGEA ITAKUWA KIKOMO. TIGO ALIKUWA KING'ARA WA KUPINGA HII HATUA. VILEVILE SERIKALI INAMPANGO WAKUZINYANGANYA MASAFA HIYO MITANDAO KUTOKANA NA KUTOKUWA NA NIA YA KUFIKISHA PEMBEZONI WA TANZANIA HUSUSANI VIJIJINI. Hapo vipi wadau?
 
Makzmpuni yz simu yamelazimishwa tu, wenyewe hawakukubali bado. Kitakachofuata tutachezeshwa bahati nasibu na hayo makampuni hadi tukome
 
Basi hata unaweka full story tusome ili tuelewe vizuri.
 
safi nini?

Kushuka gharama za simu. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunalipa elfu 3 dakika tatu za mwanzo (hata uongee dakika moja, imekula kwako) (international calls), fikiria elfu 3 ya siku hizo. Tumetoka mbali.
 
Kama litafanikiwa hilo, basi nitaipongeza wizara husika kwani kuna vigogo wenye share kwenye hayo makampuni ya simu.
 
MAMLAKA YA MAWASILIANO
TANZANIA TCRA IMETANGAZA RASMI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MIINGILIANO YA
MITANDAO YA SIMU IFIKAPO MARCH MOSI KWA 69%, YAANI KUTOKA TShs 112 mpaka
35 kwa dakika. HII YOTE INATOKANA NA MALALAMIKO YA MUDA MREFU KUWA
TANZANIA GHARAMA ZIPO JUU KULIKO NCHI ZINGINE. NI MATARAJIO YA SERIKALI
KUWA ILE TABIA YA KUBEBA SIMU 2 ITAPUNGUA HATA WALE WAKUBADILISHA LAINI
KILA ATAKAPO KUONGEA ITAKUWA KIKOMO. TIGO ALIKUWA KING'ARA WA KUPINGA
HII HATUA. VILEVILE SERIKALI INAMPANGO WAKUZINYANGANYA MASAFA HIYO
MITANDAO KUTOKANA NA KUTOKUWA NA NIA YA KUFIKISHA PEMBEZONI WA TANZANIA
HUSUSANI VIJIJINI. Hapo vipi wadau?

yangu macho na masikio hiyo machi mosi.....kama nikweli basi itakuwa kheri.
 
Kushuka gharama za simu. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunalipa elfu 3 dakika tatu za mwanzo (hata uongee dakika moja, imekula kwako) (international calls), fikiria elfu 3 ya siku hizo. Tumetoka mbali.

sijawahi kupiga simu kipindi cha JK wa ukweli.
kwahyo wewe hujafurahia kushuka kwa gharama nini?

bado hazijashuka ,,,,,ndiyo kwanza huduma ni mbovu kuliko nilivyowahi kushuhudia na gharama bado zipo palepale
 
Its sound Good! We better steap from slogan to action and that will be great.
 
sijawahi kupiga simu kipindi cha JK wa ukweli.

bado hazijashuka ,,,,,ndiyo kwanza huduma ni mbovu kuliko nilivyowahi kushuhudia na gharama bado zipo palepale

Hujawahi kushuhudia huduma mbovu za simu. Ungekuwepo wakati wa nyerere, tulikuwa tunapanga foleni "extelcoms" mpaka wiki ili kupata dakika tatu za kupiga simu za kimataifa. Leo hii sisi tunaona tuko peponi kwa mawasiliano ya simu.

Ndio maana tunawaambia Jakaya kawaletea neema hamkubali.
 
Zomba wapashe hao vijana!!!!! Safii!!! teh...teh
...
 
Sio lazima gharama za kupiga simu pia zishuke, hasa Kama TCRA haina "meno" ya kuzilazimisha kampuni za simu tariff wanazowatoza wateja wao!
 
Hujawahi kushuhudia huduma mbovu za simu. Ungekuwepo wakati wa nyerere, tulikuwa tunapanga foleni "extelcoms" mpaka wiki ili kupata dakika tatu za kupiga simu za kimataifa. Leo hii sisi tunaona tuko peponi kwa mawasiliano ya simu.

Ndio maana tunawaambia Jakaya kawaletea neema hamkubali.

kwani huduma za simu za mkononi zimeanza wakati wa jakaya au mimi nimekosea kusoma hapo kwenye bold?
 
Gharama itapungua, ingawa sio kwa tofauti hiyo ya sh. 77 kwa sababu competitive advantage ya kampuni hizi za simu inatofautiana.

Swali langu ni, hili punguzo la gharama kampuni za simu are charging each other for off-net calling will it stimulate further investments in telecom infrastructures?

Au kampuni za simu zitaanza kutegeana ku invest kwenye new sites kwa sababu ya kudhani mwingine atapata slope kwa kuwa off-net charges ziko chini!
 
Back
Top Bottom