Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Safi sana.
safi nini?
safi nini?
Basi hata unaweka full story tusome ili tuelewe vizuri.
MAMLAKA YA MAWASILIANO
TANZANIA TCRA IMETANGAZA RASMI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MIINGILIANO YA
MITANDAO YA SIMU IFIKAPO MARCH MOSI KWA 69%, YAANI KUTOKA TShs 112 mpaka
35 kwa dakika. HII YOTE INATOKANA NA MALALAMIKO YA MUDA MREFU KUWA
TANZANIA GHARAMA ZIPO JUU KULIKO NCHI ZINGINE. NI MATARAJIO YA SERIKALI
KUWA ILE TABIA YA KUBEBA SIMU 2 ITAPUNGUA HATA WALE WAKUBADILISHA LAINI
KILA ATAKAPO KUONGEA ITAKUWA KIKOMO. TIGO ALIKUWA KING'ARA WA KUPINGA
HII HATUA. VILEVILE SERIKALI INAMPANGO WAKUZINYANGANYA MASAFA HIYO
MITANDAO KUTOKANA NA KUTOKUWA NA NIA YA KUFIKISHA PEMBEZONI WA TANZANIA
HUSUSANI VIJIJINI. Hapo vipi wadau?
Kushuka gharama za simu. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunalipa elfu 3 dakika tatu za mwanzo (hata uongee dakika moja, imekula kwako) (international calls), fikiria elfu 3 ya siku hizo. Tumetoka mbali.
kwahyo wewe hujafurahia kushuka kwa gharama nini?
sijawahi kupiga simu kipindi cha JK wa ukweli.
bado hazijashuka ,,,,,ndiyo kwanza huduma ni mbovu kuliko nilivyowahi kushuhudia na gharama bado zipo palepale
Hujawahi kushuhudia huduma mbovu za simu. Ungekuwepo wakati wa nyerere, tulikuwa tunapanga foleni "extelcoms" mpaka wiki ili kupata dakika tatu za kupiga simu za kimataifa. Leo hii sisi tunaona tuko peponi kwa mawasiliano ya simu.
Ndio maana tunawaambia Jakaya kawaletea neema hamkubali.

kwani huduma za simu za mkononi zimeanza wakati wa jakaya au mimi nimekosea kusoma hapo kwenye bold?