Gharama za TRA zinafanya kumiliki gari Tanzania kuwa kama anasa

kungwe

New Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
2
Reaction score
3
Hizi garama za kuagiza gari zinazotozwa na TRA kuna haja ya kupata maana yake na kwanini zinatozwa. Kwa sisi tusiojua tunaona kama ni wizi kuna kodi hadi ya railway.

Ama kuna anajua kwanni zinatozwa au mamlaka husika watusaidie. Inafanya kumiliki gari Tanzania iwe kama anasa, malipo ya TRA nisawa na bei gari.

 
Bajaji je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…