Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Mwaka wa huu wa uchaguzi tume ya taifa ya uchaguzi inakuwa na bajeti iliyopitishwa kughaimia uchaguzi katika kila jimbo
- Je wastani wa gahrama ya uchaguzi kwa kila jimbo ni shilingi ngapi?
- majimbo yenye gharama kubwa za uchaguzi ni yapi na majimbo yenye gharama ndogo za uchaguzi ni yapi?
- Kama kuna magari mapya yamenunuliwa ni gharama kiasi gani zimetumika na magari aina gani? Je uchaguzi ukiisha yanapelekwa wapi au yanauzwa kwa shilingi ngapi?