Mwaka wa huu wa uchaguzi tume ya taifa ya uchaguzi inakuwa na bajeti iliyopitishwa kughaimia uchaguzi katika kila jimbo
Je wastani wa gahrama ya uchaguzi kwa kila jimbo ni shilingi ngapi?
majimbo yenye gharama kubwa za uchaguzi ni yapi na majimbo yenye gharama ndogo za uchaguzi ni yapi?
Kama kuna magari mapya yamenunuliwa ni gharama kiasi gani zimetumika na magari aina gani? Je uchaguzi ukiisha yanapelekwa wapi au yanauzwa kwa shilingi ngapi?