Gharama za uchapaji wa vitabu!!

Gharama za uchapaji wa vitabu!!

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
872
Reaction score
141
Wanajf. Nahitaji kuchapa kitabu cha somo mojawapo la ADVANCED LEVEL ila sina mtaji hata kianzio.
Napokea partnership kwa yeyote atakayekubali tuzalishe pamoja.
Vitu ninavyohitaji ni kamera, uwezeshwaj wa mawasiliano, gharama ya typing and printing, na kusajili wizarani ili kupata ISBN. Yeyote aliyetayari tusaidiane kuendeleza elimu yetu tuwasiliane.
Please text me through 0654 047387

Hongera sn kwa hilo wazi lako, naomba tuwasiliane kwa kufahamiana na maelezo zaidi through PM

Salaams,
Nimefurahishwa sana na wazo lako la kuchapisha kitabu. Baada ya kuandika na kuchapisha vitabu mbalimbali ninaelewa karaha na usumbufu unaowakumba waandishi wapya.
Nitafurahi kukusaidia kufanikisha malengo yako nikijaaliwa. Tafadhali tembelea Welcome to Locus Press na ututumie muhtasari wa kazi yako ili niweze kuifanyia tathmini. Locus Press ina lengo la kutoa upendeleo zaidi kwa waandishi wa kutoka Tanzania.
Wasalaam,
Dr Imani Silver Kyaruzi

Nashukuru mkuu. Nimetembelea na nimefurah kwani naamini nitapata msaada stahiki.

Back
Top Bottom